Trump alitoa kauli hiyo wakati mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea na vita hivyo kuwa moja ya masuala yanayotawala siasa za ndani za Marekani.
Akizungumzia hatua za kijeshi zilizochukuliwa na utawala wake, Trump alirejea matumizi ya ndege za kivita za kimkakati aina ya B-2, akisema zilitumika kuzuia Iran kufikia uwezo wa kutengeneza silaha ya nyuklia.
#UbuMedia
