Umoja wa Afrika umekuwa ukishinikiza kuwepo kwa uwakilishi mkubwa zaidi wa Afrika katika taasisi za kimataifa.
Bara hilo linachangia zaidi ya robo ya wanachama wa Umoja wa Mataifa lakini halina kiti cha kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja huo.