"Juzi wakati tupo kwenye Ndege nikaona Ndege Ina tembea taratibu sana ikabidi nimfuate rubani kumuuliza nini shida?
Rubani akaniambia shida upepo unatokea Mbele yetu ndo maana unaona Ndege iko taratibu, pale pale nikauambia upepo uelekee tunapo elekea katika jina la yesu
Na kweli upepo ukaanza kutokea nyuma yetu na Ndege ikaanza kusukumwa na tukajikuta tumefika ndani ya wakati mana uwanja tulio kuwa tuna tua likisha ingia giza Ndege haziruhusiwi kutua"
🗣️ Amesema Mtume Mwamposa akiwaambia watu wawe na Imani Kwa Kila kitu.
