Mme Wangu Aliangua Kilio Wakati Tupo Kitandani - Zaylissa

Baba Abby
0

 


Zaylissa akiwa kwenye kipindi cha Royal Circle amesema kuwa mwanaume inabidi alie kuendana na mwili wake akatolea mfano namna ambavyo mume wake Ngilangwa alivyoangua kilio wakiwa kitandani.


Zaiylissa ameeleza kuwa aliwahi kuona Wanaume wanalia kiume lakini mume wake aliangua kilio ambacho kilimshangaza sana .


Zaiylissa ameendelea kusema kuwa hebu fikiria Mwanaume kile kitambi alichokuwa nacho alafu aangue kilio inakuwaje 😂😂😂😂😂😂😂😂😂.


''Sasa baby alie aendane na sauti yake mimi nilishawahi kuwaona wanaume wanalia ila ile kiume sasa ngilangwa kayakuza ngilangwa kalia jamani sasa imagine ngilangwa alivyo anakitambi alafu heeeee tulikuwa tumelala nikasema au naota kitu chenyewe ''Amesema Zaiylissa

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!