"Katika watu ambao wana teseka na hali ninayo Pitia basi ni mwanangu Paula, mwanangu anajua ni jinsi ninavyo umizwa bila hatia , nawatendea sana mema, natulia nikiwa nao ila mwisho wa siku wana ishia kuniumiza.
Mwanangu Anafunga Sana na Kuomba Kwa ajili yangu Ili tu siku Moja nimpate mtu Sahihi wa kunipa furaha kama yeye, na mpaka muda huu ninavyo ongea yuko kwenye maombi Kwa ajili yangu"
🗣️ Kajala akiongea katika kipindi Cha A list.
