Msanii Kitundu Miaka 20 Jera Kwa Kumnyonyesha Mtoto Uume

Baba Abby
0

 


Kijana Ibrahimu Said Kitundu, maarufu kama Kitundu (Msanii chipukizi), amehukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la kumfanyia mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita shambulio la aibu.


Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, ACP Twaha Lulengelule, amesema Kitundu amehukumiwa baada ya Mahakama kumtia hatiani kwa kosa hilo.


Itakumbukwa, Machi 22, 2026, mtuhumiwa alimchukua mtoto huyo hadi kwenye kibanda cha filamu kilichopo Mtaa wa Nyerere na kumlazimisha kumnyonya uume wake kwa lengo la kujifurahisha kingono.


Baada ya shauri hilo kuendelea mahakamani, Kitundu amepatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo cha miaka 20 jela.

Tags

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!