Diamond Platnumz amsifia Zuchu anajua Mapenzi

Baba Abby
0

 

Diamond Platnumz

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesema kuzaliwa kwa mtoto wake na "Zuchu" Zuhura ni tukio la kipekee kwake, akieleza kuwa mtoto huyo amezaliwa kutokana na mwanamke anayempenda kwa dhati kutoka moyoni.


Diamond amesema tofauti na baadhi ya matukio ya nyuma ambayo watoto walizaliwa bila mipango maalum, safari yake na Zuhura ilikuwa sehemu ya mipango yao na haikuwa jambo lililotokea kwa bahati mbaya.


Ameeleza pia kuwa sherehe hizi kubwa anazozifanya za mfululizo kwa siku mbili mfululizo, ni kwa kuwa mtoto huyo ni “mwenye baraka zote” na amezaliwa ndani ya ndoa takatifu.

🗣️ Diamond Platnumz: “Huyu ndiye mtoto mwenye baraka zote...” ❤️🥰

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!