Chief Godlove: Nilisomea Uchungaji Lakini Tamaa Ikanileta Kwa Shetani

Baba Abby
0

 

Chief Godlove

Chief Godlove ameonekana kwenye video akisema kuwa yeye ni mtoto wa Mungu kabisa alisoma Biblia miaka mitatu, amesomea uchungaji, kuwa Apostle, alipanga kuwa mchungaji lakini njaa, njaa imemtoa kwa Mungu imempeleka kwa Shetani lakini anaamini bado ana nafasi mbele ya Mungu.


“Acha nile hela za Shetani baadaye hela nikizichoka ntarudi kwa Mungu, njaa imenileta huku Mungu nisamehe”


Alisema kijana mwenye pesa nyingi Chief Godlove

Tags

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!