Diamond Platnumz amkataa Mtoto Wa Hamisa Mobetto

Baba Abby
0

 


Diamomd Platnumz ali hakikisha watoto wake wote wana kuwepo katika 40 ya Sandra, Tiffah na Nillan walikuwa nchini south Africa lakini Diamond aliwasafirisha hasi nchini Tanzania


"Jana nilikuwa nafuatilia 40 ya mtoto wa Diamond na Zuchu, kwakweli niseme niliumizwa nilivyoona Diamond yuko karibu na watoto wake akina Nillan, Tiffa na Naseeb Jr, niliumia Kwa sababu Diamond ana mtoto mwingine ambaye kazaa na Hamisa Mobeto lakini kaamua kumtelekeza Kwa sababu zao binafsi.


Diamond unacho mfanyia yule mtoto niamini Mimi ipo siku utakuja kuhitaji msaada kwake, si unaona huyo baba yako Kila siku anavyo lia kuwa humsaidii? Basi hicho kitu kitakuja kukurudia, najua Kwa Sasa huoni kama unaweza kuja kuomba msaada Kwa watu ila nikuambie tu maisha yana weza kukubadilikia Kwa siku Moja tu"


✍️ Ameandika Mdau 


Hii imekaaje?


Nasibu junior alikuwa nchini Kenya, Diamond akafanya juu chini Nasibu junior akatua bongo, watoto wote wa Diamond wali hudhuria 40 ya Sandra isipo kuwa Dylan 🥹


Huyu ni mtoto ambae Diamond Platnumz alimpata akiwa na Hamisa Mobetto, Dylan yupo hapa hapa nchini Tanzania ilikuwa ni kumtuma mtu aka mchukue, imagine baba ako ana waita ndugu zako wote katika sherehe arafu wewe ana kuacha.


Je ni sahihi mzazi kufanya Kitu alicho kifanya Diamond Platnumz?

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!