Dulla Makabila Ajilaumu Alichofanya Kwenye Arobaini Ya Mtoto Wa Diamond

Baba Abby
0

 

Dulla Makabila

Msanii wa muziki wa singeli kutokea nchini Tanzania Dulla Makabila ameonyesha kujutia kwa kitendo alichokifanya kwenye 40 ya mtoto wa Diamond.


Dulla Makabila ameeleza kuwa kuna wakati kwa upande wake anaona kuiona pepo ni ngumu kwasababu yeye aliimba singeli kwenye arobaini ya Sandrah tofauti na Dvoice aliyesoma Quran.


''Ila sisi wengine pepo yetu ngumu sana mtoto wa diamond amezaliwa kwenye sherehe yake saa tano amemuona d voice kasoma quran tukufu mlango wa tatu kufika saa nane ananiona mimi naimba singeli wimbo wa kidonda sijui ataniweka kundi gani ila atajua mwenyewe bwana''

 Ameandika Dulla Makabila.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!