Msanii Wa Bongo Fleva Killy Aonekana Akipiga Show Za Chaka

Baba Abby
0

 

Killy

Msanii KILLY imeenea video yake ikimuonesha akiimba katika mazingira ambayo watu au baadhi ya mashabiki wanahisi kama anashusha brand kwani yeye ni msanii mkubwa na hatakiwi kufanya hizo show za chaka to chaka awaachie hao wengine kwani yeye ashakuwa mkubwa kwani aliwahi kuwa katika Label kubwa kama "KONDEGANG"


Hata hivyo Watu wengine wamekuwa wakimtetea na kusema kuwa anachokifanya sio kosa ila shida tu watu wengi wanapenda kuwadharau hao watu wa mikoani kwani nao wana haki ya kuinjoi burudani kwa mastar wao, Je we una maoni gani kuhusu hili.

Je ni kweli anashusha Brand? Dondosha maoni yako hapo Chini

Tags

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!