Mwijaku Azua Gumzo Baada Ya Kuombewa Na Mzee Wa Upako

Baba Abby
0

 

Mwijaku

Mwijaku ameonekana akiombewa na Mtumishi wa Mungu, Mzee wa Upako, katika tukio lililozua hisia na gumzo miongoni mwa waliolishuhudia. 🙏

Je, unaamini maombi haya yanaweza kumsaidia Mwijaku katika kipindi hiki, hasa wakati akikabiliwa na kesi ya madai ya Shilingi milioni 200 kutoka kwa Kajala? 🤔

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!