Mimi Malu amezua gumzo baada ya kueleza kuwa kwa mwezi anaweza kupata hadi Sh milioni 50, akidai kiasi hicho kinatokana na matangazo anayofanya.
Kauli hiyo imeibua mjadala mkubwa mtandaoni, huku wengi wakijiuliza kuhusu thamani ya mikataba na matangazo anayoyafanya.
