Kupitia Ukurasa wa Instagram wa Sandrah, mtoto wa Zuchu na Diamond Platnumz umeachia picha nyingine mpya.
"Hello online uncles and unities, nawashalimia. Pls don’t forget to shay Mashallah 😍😍 i wav you bye," umeandika ukurasa huo
Tazama Picha Mpya Za Sandrah Hapo Chini:


