Sauti Ya Wema Sepetu Yavuja Akitongozwa Na Shemeji Yake

Baba Abby
0

 

Wema Sepetu

Kumekuwa na sauti ya Wema Sepetu inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii akisikika akiwa anatongozwa na mume wa rafiki yake.


Kwenye sauti hiyo Wema amesikika akimuambia shemeji yake kuwa hajakwazika kutongozwa na shemeji yake kwasababu kupendwa raha ila ni vile tu yeye ni mume wa rafiki yake.


''Hujanikwazakwasababu kumuambia mtu hisia zako sio kitu kibaya mpaka umenipigia simu umeniambia nina heshimu wewe ni mume wa rafiki yangu kupendwa raha ''Alisema - Wema Sepetu

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!