Muigizaji wa filamu kutokea nchini Tanzania Mulky amedai kuwa yeye na Isarito hakuwa kuwa wapenzi kabisa kwenye maisha yao .
Mulky amesema kuwa yeye na Isarito ni watu wanaofanya kazi pamoja.
Licha ya hayo ameeleza kuwa zile sauti zilizovuja akimchamba Wolper sio za kwake zilikuwa ni ai.
''Mjomba ni mjomba sisi ni wtau flani wa kufanya kazi pamoja hatujawahi kuwa wapenzi ''Amesema Mulky
