Abigail Chams: Bill Nass Alinipigia Simu Akaniomba Msamaha

Baba Abby
0

 

Abigail Chams Bill Nass

Baada ya kusambaa kwa video clip kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Abigail Chams akimkata jicho baya  Billnass  ambalo wengi wametafsiri kama alimdharau  wakati Nenga  alipomshika bega  kwa bahati mbaya ili apate balance ya kuvuka sehemu ya juu ya club, Abigail Chams ameibuka na kutolea ufafanuzi swala hilo .


Abigail Chams ameeleza kuwa yeye hajazoea vurugu ndio maana alionekana vile japo hakufanya kwa ubaya lakini kizuri Billnass alimpigia simu akamuomba msamaha na yeye akamsamehe pale pale .


"Sina cha kusema kweli kaka yangu billnass alinipigia simu akaniomba msamaha " Amesema - Abigail Chams

Tags

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!