Wengi wamezungumza kuhusu vazi alilolivaa NANDY na kusema amekosea kuvaa hivyo kwani yupo uchi na pia ni mke wa mtu pia Maadili yetu hayastahili kuvaa vile.
Msichojua cha kwanza yule ni msanii siku zote anatakiwa awe tofauti na watu wengine yani haiwezekani aende kwenye Tamasha kubwa kama lile halafu avae sawa na watu wengine, Pili lile vazi amelivaa tangu anatoka kwake hivyo kungekuwa na shida asingepanda nalo jukwaani.



