Chalamila: Kila Nyumba Dar Lazima Iwe Na Ndoo Ya Takataka (Dustbin)

Baba Abby
0

 

Chalamila

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert

Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam linakuwa safi na mazingira yanatunzwa.


Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari leo Septemba 17, 2026, Chalamila amesema hatua hiyo itasaidia kutekeleza agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, la kuhakikisha Dar es Salaam inakuwa safi.


Amesema pamoja na nyumba, magari ya abiria maarufu kama daladala yanapaswa pia kuwa na vifaa maalumu vya kuhifadhia taka ili kuzuia uchafu kutupwa ovyo.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!