Dodo Janja ameachana na mtindo wa nywele za rasta/dreads alizokuwa nazo kwa muda mrefu baada ya kuzikata na kurudi katika mtindo wa nywele fupi, ambazo amesema kwa sasa zinamfanya ajihisi kuwa mwepesi kuliko mtindo wa rasta.
Mbali na hayo, mwanamuziki huyo ameonekana akiendelea na majukumu yake mengine ya udiwani.