Jux: Nimekuwa Muandishi Mzuri Wa Nyimbo Toka Nifunge Ndoa

Baba Abby
0

Juma Jux

Juma Jux amefunguka kuwa tangu aingie katika ndoa na Priscilla Ojo, amepata mwanga na urahisi zaidi katika uandishi wa nyimbo zake zinazohusiana na mapenzi kwani ndoa imemuongezea uzoefu zaidi katika kazi zake za muziki pia inampa urahisi hata katika uteuzi wa maneno ya kutumia, kuliko ilivyokuwa awali kabla ya ndoa.


Jux ameendelea kuukuza muziki wake nje ya Africa mashariki kwani kwa sasa pia kazi zake zinafuatiliwa na mashabiki hata Afrika ya Magharibi, Priscilla anatokea Nigeria.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!