Mambo 10 Usioyajua Kuhusu Zuchu

Baba Abby
0

 

Zuchu

Haya ndio mambo kumi ambayo najua huyafahamu kuhusu mwanamuziki kutokea nchini Tanzania Zuchu ambaye ni Queen wa Wcb.


Moja ya kitu ambacho hukifahamu ni  hiki Zuchu alifikisha . subscribers 100,000 YouTube ndani ya wiki moja tangu kutambulishwa rasmi kwenye lebo yake ya Wcb 


Jambo la pili alikuwa ni msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kufikisha subscribers milioni 1 YouTube.


Jambo la tatu EP yake I Am Zuchu ilikaa Top 5 ya Boomplay Album Chart kwa wiki 75.


Jambo la nne usilolijua kuhusu Zuchu ni  EP  yake ya Iam Zuchu ilikaa namba 1 Boomplay kwa wiki 35 mfululizo.


Jambo la tano wimbo wa ke wa Sukari ulikuwa miongoni mwa mafanikio yake makubwa, na video yake ikaongoza kwa kutazamwa YouTube katika eneo la Sub-Saharan Africa mwaka 2021.


Jambo la sita  Sukari ikawa solo song ya msanii wa kike Tanzania kuvuka views milioni 100 YouTube.


 jambo la saba Zuchu akawa msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kufikisha streams milioni 100 Boomplay.


Jambo la nane msanii wa kwanza wa kike Afrika Mashariki kuteuliwa MTV EMA, mwaka 2022.


Jambo la tisa aliwahi kubeba Tanzania Music Awards tano kwa usiku mmoja.


Na jambo la mwisho na lakumi ni kwamba Ndani ya miaka michache tu tangu kuingia rasmi WCB, amefanikiwa kuweka rekodi kadhaa kwenye YouTube, Boomplay na majukwaa mengine ya muziki.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!