Ommy Dimpoz Anamiliki Pisi Kali Kuliko Wasanii Wote

Baba Abby
0

 

Ommy Dimpoz

Mwijaku ameeleza kuwa Ommy Dimpozi ni miongoni mwa wasanii wanatafuna sana pisi kali hapa Tanzania ila kwa bahati mbaya huwaga haoneshi pisi zake ndio maana watu wanazusha maneno.


Mwijaku ameeleza moja ya kisanga alichowahi kukutana nacho kwa Ommy Dimpoz ni wakati wapo Zanzibar ambapo Ommy alimuuliza kuwa kama anataka kushuhudia dhambi zake.


Mwijaku ametoa ushuhuda kuwa Ommy kwa siku ile alizichapa sana pisi kali.


''Katika watu wanatafuna mabinti dimpozi anatafuna dimpoz nilishakuwa naye zanzibar akaniambia mwijaku unataka dhambi nikamwambia nataka nizioene'' Amesema Mwijaku

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!