Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Septemba 15, 2026, limemkamata na kumuhoji Shamte Mkumba kwa tuhuma za kuhusika na taharuki iliyotokea Azam Complex wakati wa mchezo wa klab bingwa baina ya wenyeji Young Africans dhidi ya Gaborone United ya Botswana,
Mkumba ni mlinzi, shabiki na mwanachama wa Yanga SC.