Nandy: Mimi na Zuchu Hatuna Ugomvi

Baba Abby
0

 

Nandy Zuchu

Nandy amesema watu wengi wana tafsiri kama yeye na Zuchu wana bifu, hawapendani lakini siyo kweli urafiki wangu na Zuchu ni wa muda mrefu mana mala nyingi tuna kutana nyuma ya camera haswa studio.


Huwa tuna piga stori tuna ongea vitu vingi, kwa sababu Zuchu ni mwanamziki alie fanikiwa, na mimi ni mwanamuziki nilie fanikiwa, hatuna sababu ya kuchukiana mana kila mtu ana kipata anacho kipata kupitia muziki wake.


Nandy aliongeza kwa kusema wanawake huwa tuna ongozwa na hisia, lakini waume zetu wamekuwa wana jitahidi sana kuzuia sisi tusigombanishwe, Zuchu ni rafiki yangu mana aliniambia jina la mtoto muda mrefu ulio pita.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!