Esma platnumz: Zuchu Bado Ana Mambo Ya Kitoto

Baba Abby
0

 

Zuchu Esma Platinumz

Esma platnumz ameeleza kuwa Zuchu ana tabia moja ambayo hata yeye huwa namsemaga, na mwambia wewe hii tabia yako mimi sipendi, yani anaweza aka gombana na Nasibu kesho ukimpigia unakuta amesha kublock.


Yani ana block familia nzima, siyo familia tu ana block hadi wafanyakazi wote wa wasafi, sasa hii tabia mimi sipendi na huwa ana mwambia kila mala wewe uta block watu mpaka lini? huyu mwanaume inatakiwa umzoee.


Hata juzi nilikaa na Zuchu nika mwambia sasa hivi una mtoto, siuna ona kama una mtoto akili yako ina takiwa ikue, zile hasira hasira inabidi uache.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!