Nicole Berry Asisitiza Watanzania Wavae Kimaadili

Baba Abby
0

 


Nicole Berry amekuwa akipendelea fashions za tofauti na za kipekee, hata hivyo, ameonekana katika mtindo wa vazi refu lililompendeza, huku akisisitiza umuhimu wa kuvaa kwa kuzingatia stara na maadili.


Kwa upande mwingine Nicole amejielezea kuwa yeye ni mdada mpole na asiye na makuu katika  maisha yake. Awali, alieleza kuwa anapenda kuheshimiana na watu na  kusimamia misimamo yake inapobidi.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!