Poshy Queen: Harmonize Hajawahi Kuona Uchi Wangu

Baba Abby
0

 

Poshy Queen na hamornize

Poshy Queen, ambaye aliwahi kuwa karibu na msanii Harmonize, amefunguka kuhusu uhusiano wao na kusema kuwa mambo yalikuwa tofauti na ambavyo watu wengi walivyodhani.


Poshy amesema kwa kawaida hapendi kuzungumzia maisha yake ya kimapenzi na Harmonize, akisisitiza kuwa ni yeye na Harmonize pekee wanaojua ukweli wa uhusiano wao.


Kwa mujibu wa Poshy, Harmonize aliwahi kumkaribia kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara. Anasema ingawa kwa nje watu waliweza kuwaona kama wapenzi, ukaribu wao haukuhusisha mahusiano ya kimwili.


Amesema uhusiano huo ulimsaidia kupata mambo mbalimbali na kujifunza kupitia ukaribu wake na Harmonize, lakini ameamua kutotoa maelezo zaidi kuhusu kilichokuwa kinaendelea kati yao.


“Mimi na yeye ndo tunajua mahusiano yetu yalikuwaje,” amesema Poshy Queen.


Kumbe inawezekana watu kuonekana kama wapenzi kumbe nyuma ya pazia mambo ni tofauti? 👀

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!