Mr Pimbi ameibuka na kusema kuwa miongoni mwa kitu ambacho inabidi tushukuru ni Jux kumuoa Priscy kwasababu Priscy ndio chachu ya mafanikio kwa Juma Jux.
Mr Pimbi ameeleza kuwa kwasasa Juma Jux amekuwa ni mwanaumziki anayefanya show nyingi sana nje za nchi yote ni kutokana na sapoti ya mashemeji zake kutoka kwa Priscy .
''Kwanza watanzania katika vitu ambavyo tunapaswa kushukuru ni jux kumuoa priscy kwasababu kuna advantage imeanza kupatikana baada ya kumuoa priscy ''
Amesema Mr Pimbi
