Bony Mwaitege: Muziki Wa Singeli Sio Dhambi

Baba Abby
0

 

Bon Mwaitege

Muimbaji mkongwe wa nyimbo za injili nchini, Bony Mwaitege amesema anaendelea kusimamia msimamo wake kuwa muziki wa Singeli sio dhambi kama umeimbwa kwa dhamira njema.


Msanii huyo amesema licha ya watu wengi kumshangaa kwa msimamo huo, yeye anaamini kuwa uhalali na ubaya wa muziki unatokana na dhamira na sio aina.


"Melodi kabla haijawekwa maneno yenye matusi, muziki wenyewe unakuwa hauna dhambi. dhambi inakuja ile melodi kuwekewa maneno yenye matusi.

Post a Comment

0 Comments

Post a Comment (0)

#buttons=(Ok, Go it!) #days=(20)

Our website uses cookies to enhance your experience. Check Now
Ok, Go it!